Bingwa Conseslus Kipruto yu tayari kushiriki mashindano ya dunia Jijini Beijing
16th August, 2015
Bingwa wa dunia wa mbio za Chipukizi, Conseslus Kipruto atashiriki mashindano ya dunia kwa mara ya pili huku akiwa na matumaini kuwa Nyota yake itangaa sana Jijini Beijing. Kipruto alishinda nishani ya fedha kwenye mashindano ya dunia makala ya 2013 jijini Moscow, Urusi.