Mwanamke Ngangari,Ann Njeri,Ruai,Elvis,Kosgei,Childrens Home
16th August, 2015
Kwenye makala yetu maalum ya Mwanamke Ngangari tunamwangazia mwanamke mmoja ambaye licha ya kuzaliwa na ulemavu aliacha kazi yake ya kuwa mtangazaji wa Redio ili asaidie pakubwa katika kuendeleza kazi ya kuwalea watoto walemavu .Elvis Kosgei alimtembelea Ann Njeri katika eneo la Ruai na kutuandalia makala haya.