×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watoto 2 wafariki kutokana na kimbunga Kisauni Mombasa

16th August, 2015

Watoto wawili wamefariki mjini Mombasa baada ya kuangukiwa na mti walipokuwa wamelala nyumbani mwao usiku wa kuamkia leo. Inaripotiwa kuwa upepo mkali sawa na Kimbunga ulikuwa ukivuma kwa kasi katika mji wa Mombasa na kusababisha uharibifu mkubwa katika eneo hilo na hata katika viunga vyake.
.
RELATED VIDEOS