×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanasarakasi mtajika Tiger Power alazwa hospitalini kwa maradhi ya moyo

12th August, 2015

Mwanasarakasi mtajika Conrad Edward Njeru Karukenya anayefahamika na wengi kama Tiger Power yuko katika hospitali ya Kenyatta anakopokea matibabu kwa maradhi ambayo madaktari wamesema ni ya moyo. Hata hivyo Karukenya anayekumbwa na changamoto za kulipia bili za matibabu hospitalini ana matumaini kuwa atapata afueni
.
RELATED VIDEOS