Akina mama 4 wakongwe wachapwa na kujeruhiwa na makasisi wa kanisa la AIPCA Kiambu
12th August, 2015
Huku wakenya wakiendelea kuuliza maswali kuhusu mienendo ya wahubiri nchini, akina mama wanne wenye umri wa uzee wamedai kuchapwa na kujeruhiwa na makasisi wa kanisa moja la AIPCA katika kaunti ya Kiambu.