Elimu na taaluma: Mazingira ya wanafunzi….na hasa madarasa wanayosomea
10th August, 2015
Mazingira ni mojawapo ya hitaji muhimu kufanikisha masomo.…mara nyingi mahala ambapo wanafunzi husomea huchangia pakubwa katika kutathmini maisha yao ya siku za usoni… ….ndiposa kwenye makala yetu ya elimu na taaluma tunazamia mazingira ya wanafunzi….na hasa madarasa wanayosomea, na jinsi yanavyoathiri kisomo.
Elvis Kosgey anaarifu