×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya Taifa ya mpira wa voliboli ya kina dada imeapa kurekodi matokeo mema kwenye kombe la dunia

10th August, 2015

Timu ya Taifa ya mpira wa voliboli ya kina dada imeapa kurekodi matokeo mema kwenye kombe la dunia la mwaka huu litakaloandaliwa nchini Japan mwezi huu. Huku mashindano ya all Africa Games yakikaribia na Kenya ikitarajiwa kushiriki kwenye mchezo huo , timu ya chipukizi imepewa jukumu la kuwakilisha Kenya katika mashindano hayo. Malika Stikers wataondoka nchini siku ya Alhamisi kuelekea Japan.
.
RELATED VIDEOS