Watu 15 watiwa nguvuni kwa madai ya ulaghai katika mji wa Eldoret
9th August, 2015
Polisi mjini Eldoret wametegua sakata ya ulaghai wa vijana wanaotafuta ajira. Kundi la watu 15 limetiwa nguvuni kwa kuendesha mtandao unaoahidi vijana kazi huku jumla ya 1000 wakiwa wamelipa ada kwa kundi hilo wakitarajiwa kuwa wangetafutiwa kazi