Mahakama kuu yabatilisha uamuzi wa kumwondoa mamlakani Baringo William Kamket
31st July, 2015
Mbwembwe zilitanda nje ya mahakama kuu ya nakuru baada ya mahakama hiyo kubatilisha uamuzi wa kumwondoa mamlakani spika wa kaunti ya Baringo William Kamket.