×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkenya apokea ufadhili wa milioni Sh 2.5 kutoka kwa mwekezaji katika kongamano

27th July, 2015

Mkenya mmoja kwa jina Tony Ndung'u ni mmoja wa wachache waliokumbana na kheri njema kwenye kongamano la ubunifu wa kibiashara lililofunguliwa na Rais wa marekani Barack Obama. Ndungu alipokea ufadhili wa zaidi ya shilingi milioni 2.5 kutoka kwa mwekezaji aliyefurahishwa na teknolojia aliyounda miaka miwili iliyopita… . mashirima kapombe alikutana naye na hii hapa taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS