Je, ziara ya Rais Barack Obama iliigharimu taifa pesa ngapi?
27th July, 2015
Huku ziara ya siku tatu ya Rais wa marekani Barack Obama nchini kenya ikifikia ukingoni hapo jana , wakenya wengi wamesalia na maswali chungu nzima kuhusu usafiri na hata usalama wake. wengi wakiuliza ziara kama hii hugharimu taifa la marekani pesa ngapi ?