Rais wa Marekani Barrack Obama akamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Kenya na kuelekea Ethopia
26th July, 2015
Hatimaye rais wa Marekani Barrack Obama,amekamilisha ziara yake ya siku tatu humu nchini na kuondoka kuelekea jijini Adis Ababa nchini Ethopia.