Sekta ya Utalii Pwani kumarika wikendi hii kutokana na ziara ya rais wa marekani Barack Obama
22nd July, 2015
Sekta ya utalii katika maeneo ya Pwani wanawarai watalii kutembelea maeneo hayo katika wikendi hii ambapo jiji la Nairobi linatatizwa na ziara ya rais wa Marekani Barack Obama. Tayari watalii walionuia kuja hapa Nairobi wameamua kuelekea pwani kwa sababu hiyo. Agnes penda na taarifa hiyo