Vijana walioathirika kwa kuacha pombe haramu waomba serikali kuanzisha vituo vya marekebisho
22nd July, 2015
Vijana walioathirika kwa hatua ya kuacha pombe haramu wameiomba serikali kuanzisha vituo vya marekebisho ili waweze kuishi maisha ya kawaida. Wengi wamedai kuwa kuacha pombe kwa ghafla kumekuwa na madhara mengi kwa afya yao. Mary Kilobi ana taarifa zaidi.