×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Walimu katika Kaunti ya Kilifi walazimika kutumia misitu kujisaidia

18th July, 2015

Hebu fikiria uwe mwalimu unayefundisha katika shule ambayo haina vyoo vya kujisaidia kwa zaidi ya miaka kumi. Kila unapotaka kwenda haja unakimbilia msitu ambao pia unatumiwa na wanafunzi wako. Mkimaliza mwarejea darasani kuendelea na masomo! Ndio uhalisia wa mambo yanayokumba baadhi ya shule katika eneo la magarini-kilifi.
.
RELATED VIDEOS