×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo yaibuka kuhusu pombe haramu mjini Nakuru

17th July, 2015

Mbunge wa nakuru mashariki David gakuria ameendelea kuchoma na kuimwaga pombe katikati ya mji wa nakuru katika kile anachokitaja kuwa vita dhidi ya pombe haramu. Kumwagwa huku kwa pombe kumejiri saa chache baada ya mbunge huyo kuzozana vikali na gavana wa kaunti ya nakuru kinuthia mbugua ambap0 mbugua alimkashifu vikali mbunge huyo kwa kutumia mbinu sizizofaa kuendeleza oparesheni hiyo. Lofty matambo na kizungumkuti hicho kipya kwenye kampeni ya pombe haramu.
.
RELATED VIDEOS