Wenyeji kumi na moja waliouwawa Mandera wazikwa
17th July, 2015
Wenyeji wa kieni wamejumuika kwenye mazishi ya wahanga 11 waliouawa wiki moja iliyopita mjini mandera. Ibada ya wafu imefanywa katika uwanja wa michezo wa chaka eneo bunge la kieni na baadaye maiti kusafirishwa katika maeneo tofauti kwa shughuli ya mazishi.