Wafuasi wa Gavana Kidero na Seneta Boni Khalwale wakabiliana nje ya Korti
17th July, 2015
Makabiliano makali yamezuka baina ya wafuasi wa gavana wa nairobi evans kidero na wale wa seneta wa kakamega bonny khalwale nje ya mahakamaya milimani.makundi hayo yamekabiliana kufuatia tukio la jana ambapo wafuasi wa kidero walimzomea khalwale. Iliwabidi maafisa wa polisi kufyatua risasi na kurusha vitoza machozi ili kuyatawanya makundi hayo.