×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Polisi wa Voi wakamata mwanamke kwa kosa ya kuuza bangi

17th July, 2015

Mwanamke mmoja mjini voi amekamatwa na maafisa wa polisi eneo hilo kwa kuuza bangi lakini alimsuta chifu aliyekuwa nao akisema kuwa pia chifu huyo anastahili kukamatwa kwani amekuwa akimruhusu kuendelea na biashara yake bora tu aendelee kuwa mpenzi wake. Mama beatrice manga ambaye ni mjane alisema kwa uchungu kuwa hana njia nyengine ya kuikimu familia yake na anaomba tu ajira mbadala badala ya kufungwa kwani hataki watoto wake wateseke.
.
RELATED VIDEOS