Msako wa pombe haramu washika kasi huku machifu kadhaa wakipoteza kazi zao
12th July, 2015
Vita dhidi ya pombe haramu vinaonekana kuzaa matunda katika maeneo mbali mbali nchini ,…. Viongozi mbali mbali wakijipata pabaya baadhi yao hata wakipoteza kazi. Wengi wakifikishwa mahakamani. Kufikia sasa lita milioni 16 za pombe haramu zimeharibiwa. Mary Kilobi ana taarifa hiyo kwa kina.