×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ubalozi wa Australia nchini Kenya umetoa msaada wa darasa la walemavu

9th July, 2015

Ubalozi wa Australia nchini Kenya umetoa msaada wa ujenzi wa darasa maalum la watoto walemavu katika shule ya msingi ya kangemi . Ubalozi huo umefanya hivyo ili kuwasaidia baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo ambao wanaishi na ulemavu. Shule hiyo ina jumla ya wanafunzi kumi na watatu wanaoishi na aina tofauti tofauti za ulemavu . Mbunge wa westlands tim wanyonyi alitoa wito kwa serikali kujenga madarasa ya aina hiyo kwa wanafunzi walemavu ili angalau wasihangaike sana wakiwa shuleni.
.
RELATED VIDEOS