x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ajuza mmoja alazimika kulala katika kituo cha polisi kwa madai ya kutolipa kodi

09, Jul 2015

Ajuza mmoja alilazimika kulala katika kituo cha polisi usiku wa kuamkia leo baada ya kukamatwa kwa madai ya kutolipa kodi ya shilingi laki tisa tangu mwaka 2000. Inadaiwa kuwa kiini cha kushikwa kwa esther nyambura ni utata wa biashara za kifamilia na maswala ya urathi.

RELATED VIDEOS


Feedback