Polisi washika doria ili kuwazuia vijana kuvamia Kampuni ya Keroche.
8th July, 2015
Shughuli za kawaida katika kiwanda cha mvinyo cha Keroche mjini Naivasha zilisitishwa kwa muda huku usimamizi wa kampuni hiyo ukijaribu kuzuia uvamizi wa vijana waliokita kambi nje ya kiwanda hicho.