×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maafisaa sita wa trafiki wakamatwa katika mzunguko wa reli hapa jijini Nairobi kwa madai ya hongo.

8th July, 2015

Wachunguzi wa tume ya ufisadi na maadili nchini wamewakamata maafisaa sita wa trafiki katika mzunguko wa railway hapa jijini kwa madai ya kuitisha hongo kutoka kwa waendeshaji matatu wanaotumia njia hiyo
.
RELATED VIDEOS