×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kundi lamtaka Rais Barrack Obama kutozungumzia maswala yanayohusu mashoga

6th July, 2015

Kundi moja la kibinafsi liliandaa maandamano hapa jijini Nairobi wakimtaka Rais Barrack Obama kutozungumzia maswala yanayohusu mashoga wa wasagaji katika ziara yake ya humu nchini. Kundi hilo lilisema kuwa mambo hayo yanakiuka maadili na tamaduni za Kiafrika na kuonya kuwa kujadiliwa kwake hadharani kutatoa mfano mbaya kwa kizazi cha sasa. Saida Swaleh na mengi zaidi.
.
RELATED VIDEOS