Utata unaozingira ununuzi wa mabasi matano ya mamlaka ya viwanja vya ndege KAA
6th July, 2015
Kamati ya bunge inayosimamia masuala ya uchukuzi mapema leo ilifika mbele ya mamlaka ya viwanja vya ndege chini KAA ili kutathmini utata unaozingira ununuzi wa mabasi matano ambayo yanadaiwa yalikiuka sheria na taratibu ya zabuni. Elvs Kosgei aliiandamana na maafisa wa kamati hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.