x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maafisa 28 kuondoka katika nyumba zinazomilikiwa na bandari ya Mombasa

05, Jul 2015

Usimamizi wa bandari ya Mombasa sasa umewataka maafisa 28 walioachishwa kazi kwa kushiriki mgomo kuondoka mara moja katika nyumba zinazomilikiwa na bandari. Hatua ambayo imeshutumiwa vikali na chama cha wafanyakazi bandarini. Lakini jinsi mwanahabari wetu John Juma anavyoripoti kumeibuka mgawanyiko miongoni mwa wafanyakazi, wengine wakitaka chama chao kivunjiliwe mbali kwa kuongoza mgomo haramu.

RELATED VIDEOS


Feedback