Pirates na The Dashboard watwaa mataji makuu ya Touch Rugby Diani
5th July, 2015
Pirates na The Dashboard walitwaa mataji makuu ya Touch Rugby katika mashindano yaliyoandaliwa katika ufuo wa bahari wa Diani. Top Deck ilimaliza katika nafasi ya pili katika mashindano hayo.