x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Watu kadhaa wajeruhiwa kwenye mkanyagano uliozuka katika Chuo cha Bandari

05, Jul 2015

Watu kadhaa wamejeruhiwa kwenye mkanyagano uliozuka katika chuo cha bandari , mjini mombasa wakati wa shughuli ya usajili wa wafanyakazi bandarini. Mkanyagano huo unadaiwa kuanza wakati polisi walipojaribu kutawanya kundi la watu lililokuwa likisumakana kuingia kwenye chuo hicho kushiriki kwenye shughuli hiyo ya usajili. Iliwalazimu maafisa wa polisi kurusha vitoa machozi ili kutawanya umati uliokuwa umekusanyika hapo.

RELATED VIDEOS


Feedback