×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

ISIOLO ALLIENS: Wafungwa 80 raia wa Ethiopia wamesusia chakula katika Gereza la Isiolo

2nd July, 2015

Wafungwa 80 raia wa ethiopia wanaotumikia kifungo cha mwaka mmoja katika gereza la isiolo, wamesusia chakula kwa siku ya 3 mfululizo. Hii ni kwa sababu ya kupashwa habari kuwa familia zao nchini ethiopia zinahangaika huku baadhi wakifariki kutokana na matatizo wanayopata. Kama anavyoripoti ali manzu, wito umetolewa na kamanda wa magereza kaunti hiyo, kwa serikali kuwaachilia huru wafungwa hao.
.
RELATED VIDEOS