×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaume wa Nyeri amkia pombe asubuhi na mapema

2nd July, 2015

Mjini Nyeri adhuhuri ya leo mwanamume mmoja akiwa amelewa chakari amewaarifu wanahabari wetu kwamba chupa ndiyo mwokozi wa maisha yake si siri kuwa kaunti ya nyeri na eneo la kati limeathiriwa sana na unywaji wa pombe. Thibitisho ni kupitia visa vingi vinavyogonga vichwa vya habari vya wanaume kunyofolewa au kucharazwa na wake zao. na ndio maana leo kufuatia agizo la rais umeandaliwa mkutano wa dharura kujumuisha wahusika wote wa idara za usalama ili kusaka mbinu na mikakati ya kutekeleza agizo hilo.
.
RELATED VIDEOS