Vijana wa Kaunti ya Kajiado wajiingiza katika hisia za Mumias Sugar
29th June, 2015
Zogo linaloendelea kati ya wanasiasa wa eneo la magharibi na gavana wa nairobi evans kidero leo limeshuhudiwa katika eneo la kajiado wakati kundi moja la vijana limejitokeza kupongeza hatua ya rais kenyatta kuiruzuku kampuni ya Mumias.