x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwanafunzi atoweka baada ya kupachikwa miimba na mwalimu

29, Jun 2015

Familia moja katika eneo la ruiyobei kaunti ya nakuru imekumbwa na hofu kufuatia kutoweka kwa binti yao, anayedaiwa kupachikwa mimba na mwalimu wake. Msichana huyo wa umri wa miaka 15 wa kidato cha pili, anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwalimu wake tangu akiwa darasa la nane, na hata alipoingia shule ya upili, mwalimu huyo aliendelea kumnyemelea kabla ya kumpa mimba hiyo. Kwa sasa msichana huyo ametoweka huku familia ikimtaja mwalimu wake kuwa mshukiwa mkuu.

RELATED VIDEOS


Feedback