x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jamii ya Isinya wahamasishwa kuhusu vyakula muhimu kwa afya ya watoto

27, Jun 2015

Mji wa Isinya katika kaunti ya Kajiado umerekodi visa vingi vya watoto walio na tatizo la utapia mlo. Kulingana na takwimu kutoka hospitali za eneo hilo jumla ya watoto mia tano wamethibitishwa kuwa na maradhi yanayosababishwa na ukosefu wa lishe bora kila mara mmoja kati ya watatu kufariki .

Feedback