×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri Charity Ngilu afikishwa Mahakamani

26th June, 2015

Mapema leo waziri wa ardhi Charity Ngilu amepata pigo kwenye ombi lake la mapema wiki hii kwa mahakama kumwondoa kwenye kesi inayowajumuisha maafisa wengine wa wizara ya ardhi. Ngilu alitaka kesi inyomkumba kushughulikiwa tofauti lakini hakimu lawrence mugambi amedinda kufanya hivyo na kuagiza kwamba waziri huyo aliyesimamishwa kazi kwa muda atashirikishwa kwenye kesi ya ufisadi inayowakumba wadogo wake katika wizara ya ardhi.
.
RELATED VIDEOS