Wafanyabiashara wakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kuafuatia mkasa wa moto soko la Gikomba
23rd June, 2015
Jiji la Nairobi mapema leo limeamkia mkasa wa moto kwenye soko kubwa zaidi nchini . Aidha wafanyabiashara kwenye wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kuafuatia moto huo kwenye soko la Gikomba.