Naibu kamishna wa Bomet mashariki kutisha kuwafuta kazi machifu waliomtembelea
20th June, 2015
Gavana wa Bomet Isaac Ruto amemkashifu naibu kamishna wa Bomet mashariki kwa kutisha kuwafuta kazi machifu waliomtembelea nyumbani kwake. Ruto amesema kuwa ana nia ya kushirikiana na kila mmoja kwenye kaunti hiyo bila kuzingatia wadhfa wake serikalini.