Silas Kiplagat ashinda mbio za mita 800 upande wa wanaume katika idara ya magereza
20th June, 2015
Silas Kiplagat bingwa wa zamani wa jumuiya ya madola likuwa mshindi wa mita 800 upande wa wanaume katika siku ya pili ya mashindano ya idara ya magereza katika uwanja wa Nyayo. Chipukizi Lucy Cheruiyot naye akazidi kungaa kwa kushinda mita elfu kumi baada ya dakika 32 sekunde 35.48