Madhehebu yazidi kuongezeka kwa njia tofauti za kumwabudu Maulana
19th June, 2015
Katika siku za hivi majuzi Madhehebu yamezidi kuongezeka kila moja likiwa na njia tofauti ya kumwabudu Maulana.. Francis Mtalaki anaangazia kanisa moja kwa jina la Jerusalem ambalo huwataka waumini wake kukaa chini kuanzia asubuhi hadi jioni.