Sekta ya Utalii yapata afueni baada ya Uingereza kuondoa marufuku.
19th June, 2015
Sekta ya Utalii iimepata afueni baada ya Uingereza kuondoa marufuku iliyowataka raia wake kutozuru Kaunti za Mombasa, Kilifi, Lamu na Kwale. washika dau katika Sekta ya Utalii wamelipokea tangazo hili kwa furaha kuu na kuyataka mataifa mengine kuiga mfano huo.