Voliboli cha kina dada Kenya yatarajiwa kuonyesha umahiri wao katika fainali dhihi ya Algeria.
19th June, 2015
Kikosi cha Voliboli cha kina dada wa Kenya kinatarajiwa kuendeleza umahiri wao katika Fainali ya Ubingwa wa Afrika kesho dhidi ya Algeria. Kenya imekuwa na matokeo ya kufana katika kinyanganyiro hicho, na matumaini yao ya kushinda taji la Afrika kwa mara ya tisa ni ya juu mno.