Wakenya wamepinga hatua ya wabunge kudinda kuidhinisha uteuzi wa Monica Juma
18th June, 2015
Wakenya wamepinga kauli za wanasiasa wanaodaiwa kusema kuwa kukataliwa kwa uteuzi wa Monica Juma kama katibu wa baraza la mawaziri kunawakilisha kauli ya Wakenya walio wengi.