Siku ya mwisho kwa mataifa ulimwenguni kuhamia mfumo wa dijitali lawadia
17th June, 2015
Leo ni siku ya mwisho kwa mataifa ulimwenguni kuhamia mfumo wa dijitali, kulingana na makubaliano ya mkutano wa muungano wa kimataifa wa mawasiliano uliofanyika Geneva mwaka 2006.