Bunge la kaunti ya Nyeri yajadili ongezeko la visa vya wanawake kunyofua nyeti za waume wao
17th June, 2015
Kulikuwepo na mseto wa hisia katika kikao maalum kilichoandaliwa katika bunge la kaunti ya Nyeri mapema hii leo pale wawakilishi wa wadi walipojadili kwa kina suala tata la dhuluma dhidi ya wanaume na haswa visa ambavyo vimegonga vichwa vya habari hivi majuzi.