Mwanafunzi wa shule ya Upili ya Maseno adai kulawitiwa shuleni humo
17th June, 2015
Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu madai ya mwanafunzi mmoja wa shule ya upili ya kitaifa ya Maseno kuwa alilawitiwa shuleni humo na watu asiowajua usiku wa manane akiwa amelala bwenini.