x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi wa siasa wamsuta mwenyekiti wa tume ya utekelezaji wa katiba CIC Charles Nyachae

13, Jun 2015

Viongozi wa siasa wamemsuta mwenyekiti wa tume ya utekelezaji wa katiba CIC Charles Nyachae na kumwambia akome kuingilia kazi yao.wameyasema haya siku moja baada ya Nyachae kutishia kwenda mahakamani kushtaki bunge kuhusiana na uteuzi wa Monica Juma kuwa katibu wa baraza la mawaziri. Nyachae amedai kuwa wabunge walitumia sababu za kibinafsi kumfungia nje Juma, hatua ambayo inakiuka katiba.Wabunge wamejitenga na madai hayo.

RELATED VIDEOS


Feedback