Nyota ya Selah Jepleting ashinda kwa mbio za mita 800 na 1500 kwenye mbio za vikosi vya usalama
12th June, 2015
Nyota ya Selah Jepleting ilizidi kung’aa hii leo aliposhinda mbio za mita 800 na mita 1500 kwenye mashindano ya mbio za vikosi vya usalama yaliyokamilika katika uwanja wa Safaricom Kasarani . Bingwa wa mbio za jumuia ya madola James Magut alishinda mbio za mita 1500 huku Veronica Nyaruai akishinda mita 10000.