x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Shirika la Standard Group laahidi kufanya kazi na serikali za kaunti ili kuimarisha ugatuzi nchini

10, Jun 2015

Afisa mkuu mtendaji wa shirika la Standard Group Sam Shollei alizuru kaunti za magharibi mwa Kenya huku suala la afya likitawala katika kaunti ya Vihiga na Busia wakati wa ziara hiyo. Shollei aliahidi kufanya kazi na serikali za kaunti kwa ujumla ili kulisukuma gurudumu la ugatuzi nchini.

Feedback