Wenyeji wa Rhonda Nakuru wazozana na kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanyakuzi wa ardhi
10th June, 2015
Kulikuwa na hali ya mshike mshike katika mtaa wa Rhonda kaunti ya Nakuru mapema mchana wa leo pale wenyeji walipozozana na kundi la watu wanaodaiwa kuwa wanyakuzi wa ardhi.