×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wasichana wawili waliokolewa kutokana na ndoa za mapema sinonkai kaunti ya Kajiado

6th June, 2015

Wasichana wawili waliokolewa kutokana na ndoa za mapema huko sinonkai kaunti ya Kajiado. Hii ni baada ya naibu wa chifu kutibua njama hiyo lakini cha kustajabisha alipata wakati mgumu kuwaokoa watoto hao kwa sababu ya mila na tamaduni ambayo jamii ya wamasai kutoka kaunti hiyo wameendelea kuishikilia. Francis mtalaki na maelezo kamili.
.
RELATED VIDEOS